Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azindua Nyumba 644 za Magomeni Kota, Magomeni Mkoani Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiondoa kitambaa kuzindua mradi wa Nyumba 644 zilizojengwa na Serikali kupitia Wakala wa Majengo Tanzania TBA katika eneo la Magomeni Kota Mkoani Dar es Salaam leo tarehe 23 Machi, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua mradi wa Nyumba 644 zilizojengwa na Serikali kupitia Wakala wa Majengo Tanzania TBA katika eneo la Magomeni Kota Mkoani Dar es Salaam leo tarehe 23 Machi, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikabidhi mfano wa Ufunguo kwa Bibi Mwajuma Sama na Mzee Henry Ngwemba kwa ajili ya kuwakabidhi Nyumba mara baada ya kuzindua rasmi mradi wa Nyumba 644 Magomeni Kota Mkoani Dar es Salaam leo tarehe 23 Machi 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikagua mradi wa Nyumba 644 zilizojengwa na Serikali kupitia Wakala wa Majengo Tanzania TBA katika eneo la Magomeni Kota Mkoani Dar es Salaam leo tarehe 23 Machi, 2022.
Sehemu ya Wananchi pamoja na Wakazi wa Magomeni Kota Mkoani Dar es Salaam wakihudhuria Sherehe za uzinduzi wa Nyumba 644.
Sehemu ya Wananchi pamoja na Wakazi wa Magomeni Kota Mkoani Dar es Salaam wakihudhuria Sherehe za uzinduzi wa Nyumba 644.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dar Es salaam baada ya kuzindua mradi wa Nyumba 644 zilizojengwa na Serikali kupitia Wakala wa Majengo Tanzania TBA katika eneo la Magomeni Kota Mkoani Dar es Salaam leo tarehe 23 Machi, 2022

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.