Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi Amekutana na Kuzungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Austria Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Austria Mhe.Celestine Mushy alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kuaga akielekea Kituo chake kazi alichopangiwa, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Austria Mhe.Celestine Mushy, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

(Picha na Ikulu)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.