Habari za Punde

Ufunguzi wa Kongamani la Maadhimisho ya Wiki ya Wazazi Kitaifa Ukumbi wa Amani CCM Mkoa Mjini Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Taifa baada ya kuwasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Mkoa Amani Unguja kuhudhuria ufunguzi wa Kongamano la Jumuiya ya Wazazi Tanzania
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitunza Kikundi cha Ngoma ya Kibati ikitowa burudani wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la Wiki ya Wazazi Kitaifa la Jumuiya ya Wazazi Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa mkutano wa CCM Mkoa Amani Unguja Jijini Zanzibar. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi wa meza kuu (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Bw.Edmond Mndolwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Mabodi, wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa CCM Mkoa  Amani Unguja
Wajumbe wa Kongamano la Maadhimisho ya Wiki ya Wazazi Kitaifa wakiwa katika ukumb i wa mkutano CCM Mkoa Amani wakiimba wimbo wa ukombozi baada ya kuwasili kwa mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  ambae pia ni  Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia utenzi maalumu wa Ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Wiki ya Wazazi Kitaifa lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa CCM Mkoa Amani Unguja, (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Mhe.Edmond na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
Wasoma Utenzi  Maalum Asha na Aisha wa Ufunguzi wa Kongamano Maadhimisho ya Wiki ya Wazazi Kitaifa Asha na Aisha lililofanyika katika ukumbi wa mkutano CCM Mkoa Amani Unguja.

WAJUMBE wa Kongamano la Jumuiya ya Wazazi Tanzania wakiwa wamebeba mabango ya picha za Viongozi wakati Kikundi cha Taarab cha Big Stars wakitowa burudani kabla ya ufunguzi wa Kongamano la Wiki ya Wazazi, hilo lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika ukumbi  wa CCM Mkoa Amani Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo Maalum iliyotolewa na Jumuiya ya Wazazi Tanzania akikabidhiwa na Makamu Mwenyekiti wa Wazazi Tanzania Bw. Haidar A.Haji , wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Wiki ya Wazazi Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa Amani na (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa Tuzo Maalum ya kuthamini Mchango wake kwa Jumuiya ya Wazazi Tanzania,  akikabiwa na Makamu Mwenyekiti wa Wazazi Bw.Haidar A.Haji na (kushoto kwake) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mwenyekiti wa Wazazi Tanzania Bw.Edmond Mndolwa, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Wiki ya Wazazi Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa Amani Unguja 
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Bw.Edmond Mndolwa akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Wiki ya Wazazi Tanzania kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Malmashauri Kuu ya CCM mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa Amani Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Maadhimisho ya Wiki ya Wazazi Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Afisi ya CCM Mkoa Amani Jijini Zanzibar

WAHESHIMIWA Wabunge,Wawakilishi na Viongozi wa Jumuiya ya Wazazi  wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Kongamano la kuadhimisha Wiki ya Wazazi Tanzania, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa Amani Unguja 
Viongozi wa Jumuiya ya Wazazi  wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Kongamano la kuadhimisha Wiki ya Wazazi Tanzania, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa Amani Unguja 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.