6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI AUSTRIA

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Austria, Balozi Celestine Mushi, ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Austria, Balozi Celestine Mushi, ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma, Machi 30, 2022. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments