Habari za Punde

Zanzibar Quality Tailoring yafanya maonyesho ya bidhaa zake BLW


 Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid Akipewa maelezo ya Bidhaa za Viatu  vinavyotengezwa na kiwanda cha Zanzibar Quality Tailoring Limited kilichopo chini ya Idara maalum za SMZ wakati alipotembelea maonesho hayo ya siku mbili yaliyofanyika katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid Akikagua Bidhaa za Viatu vinavyotengezwa na kiwanda cha Zanzibar Quality Tailoring Limited kilichopo chini ya Idara maalum za SMZ wakati alipotembelea maonesho hayo ya siku mbili yaliyofanyika katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani .

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.