Habari za Punde

Mke wa Rais wa Zanzibar Ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama Mariam Mwinyi Ametoa Sadaka ya Fytari kwa Wajane Wazee na Watu Wenye Hali Ngumu Kisiwa cha Tumbatu Unguja.

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae  ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Sheha wa Shehia ya Tumbatu Jongowe Bi.Miza Ali Sharif, alipowasili katika Kisiwa cha Tumbatu kwa ajili ya hafla ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wajane Wazee na Wenye hali ngumu, hafla hiyo imefanyika katika Kijiji cha Jongowe Tumbatu
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama Mariam Mwinyi akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wajane Wazee na Wenye hali ngumu katika Kisiwa cha Tumbatu na (kulia kwake) Sheha wa Shehia ya Jongowe Bi.Miza Ali Sharif na (kushoto kwake) Mkurugenzi wa Jumuiya ya Wajane Zanzibar Bi.Tabia Makame
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora. Mama Mariam Mwinyi akimabidhi Sadaka ya Futari Bi.Kazija Makame mafuta ya kupikia ikiwa ni moja ya vyakula alivyokabidhiwa kwa Wajane Wazee na Wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika Kijiji cha Jongowe Tumbatu Unguja leo 21-4-2022 na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora. Mama Mariam Mwinyi akimabidhi mmoja wa Wazee wa Tumbatu Sadaka ya Futari Bi.Tabu Kheri Haji ikiwa ni moja ya vyakula alivyokabidhiwa kwa Wajane Wazee na Wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika Kijiji cha Jongowe Tumbatu Unguja leo 21-4-2022

WAZEE wa Tumbatu wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wajane Wazee na Wenye hali Ngumu iliyofanyika katika Kijiji cha Jongowe Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja
WAZEE wa Tumbatu wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wajane Wazee na Wenye hali Ngumu iliyofanyika katika Kijiji cha Jongowe Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama Mariam Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh.Makame Said Khamis.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wajane Wazee na Wenye Hali Ngumu katika Kisiwa cha Tumbatu, iliyofanyika katika Kijiji cha Jongowe na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwake) Sheha wa Shehia ya Jongowe Bi. Miza Ali Sharif
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wazee wa Tumbatu baada ya kumalizika kwa hafla ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wajane Wazee na Wenye Hali Ngumu katika Kisiwa cha Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.