Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa
Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris mara baada ya kuwasili Ofisini kwake katika
Ikulu ya Marekani White House Washington.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyeji
wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati akiangalia mandhari
ya Majengo ya Ofisi za Ikulu ya Marekani mara baada ya kuzungumza na Wanahabari
katika Ikulu hiyo ya White House Washington leo tarehe 15 Aprili, 2022.
No comments:
Post a Comment