Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Mkoani Arusha mara baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kikazi nchini Marekani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) wakati akitokea nchini Marekani tarehe 28 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) wakati akitokea nchini Marekani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) wakati akitokea nchini Marekani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM -Bara Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) wakati akitokea nchini Marekani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akielekea kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro na Arusha waliofika kumpokea wakati akitokea nchini Marekani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akielekea kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro na Arusha waliofika kumpokea wakati akitokea nchini Marekani
Kikundi cha ngoma za asili cha Kimasai kikitoa burudani mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akihutubia Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Arusha mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa KIA wakati akitokea nchini Marekani
Viongozi mbalimbali, Wananchi wa Mkoa wa Arusha pamoja na Kilimanjaro wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Ndege wa KIA tarehe 28 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa. Samia Suluhu Hassan akiagana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama mara baada ya kuwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Arusha katika uwanja wa Ndege wa KIA.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.