Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Amejumuika na Viongozi na Wanachama wa CCM Katika Futari Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Spika wa Baraza la Wawakilishi Alhaj Zuberi Ali Maulid na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Alhaj Sheikh Saleh Omar Kaabi, wakiitikia dua ikisomwa na Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume, baada ya kumalizika kwa Sala ya Magharibi iliyofanyika katika ukumbi Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui wakati wa hafla ya Futari Maalumu iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar kwa Viongozi  na Wanachama wa CCM ZanzibarMKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuka na Viongozi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi katika futari maalumu iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar jana 29-4-2022
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mke wa Makamu wa Pili Mama Sharifa Omar Khalfan, wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa UWT Mhe.Thuwaiba Editon Kisasi akizungumza na kutowa shukrani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa.Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) kwa futari maalumu aliyowaandaliwa iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar jana 29-4-2022
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Kusini Unguja Bi.Shemsa Abdalla Ali.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalumu iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)) iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwake) Mke wa Makamu wa Pili Mama Sharifa Omar Khalfan na (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa UWT Mhe.Thuwaiba Editon Kisasi.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Kusini Unguja Bi.Shemsa Abdalla Ali.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalumu iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)) iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwake) Mke wa Makamu wa Pili Mama Sharifa Omar Khalfan na (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa UWT Mhe.Thuwaiba Editon Kisasi.
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Mabodi akizungumza katika hafla ya futari maalumu iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa Viongozi na Wanachama wa CCM iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar jana 29-4-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na (kushoto kwa Rais) Alhaj Sheikh.Saleh Omar Kaabi, wakifurahia jambo wakati Naibu Katibu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Mabodi.(hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na kutowa shukrani wakati wa hafla ya futari maalumu iliyoandaliwa kwa Viongozi na Wanachama wa CCM Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar jana 29-4-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalumu aliyowaandalia Viongozi na Wanachama wa CCM Zanzibar iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar jana 29-4-2022, (kulia kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj.Dk.Ali Mohamed Shein na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Alhaj Sheikh.Saleh Omar Kaabi
BAADHI ya Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa  hafla ya futari maalumu iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar jana 29-4-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalumu aliyowaandalia Viongozi na Wanachama wa CCM Zanzibar iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar jana 29-4-2022, (kulia kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj.Dk.Ali Mohamed Shein na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Alhaj Sheikh.Saleh Omar Kaabi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Alhaj Sheikh.Saleh Omar Kaabi.(kushoto kwa Rais) baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar jana 29-4-2022

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar jana 29-4-2022.(Picha na Ikulu) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.