Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amekutana na Kuzungumza na Msaidizi wa Waziri Mkuu wa Uingireza Katika Masuala ya Biashara.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe.David Concar na (kulia kwa Rais) Msaidizi wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika Masuala ya Biashara.Bw.Lord Wanley, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 20-4-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Msaidizi wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika Masuala ya Biashara Bw.Lord Wanley, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake (kulia kwa Rais)  Msaidizi wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika Masuala ya Biashara Bw.Lord Wanley akiwa na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe David Concar,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akizungumza na Msaidizi wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika Masuala ya Biashara Bw.Lord Wanley,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kubadilishana mawazo na Msaidizi wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika Masuala ya Biashara.Bw. Lord Wanley baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Msaidizi wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika Masuala ya Biashara Bw.Lord Wanley baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa baadhi ya Wawekezaji kutoka Nchini Uingereza na (kulia kwa Rais )Msaidizi wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika Masuala ya Biashara Bw.Lord Wanley , Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali na (kushoto kwa Rais) Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe.David Concar na Waziri wa Uchumi wa Buluu Zanzibar Mhe.Suleiman Masoud.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.