Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Ndg.Shaka Hamdu Shaka akisalimiana na wananchi alipofika eneo la stendi ya zamani mjini Babati akiwa katika ziara hiyo.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi.Ndg.Shaka Hamdu Shaka, akisalimiana na Wananchi wa Wilaya ya Babati alipofika katika kijiwe cha kahawa stendi ya zamani ya mabasi Mjini Babati Mkoani Manyara akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani humo
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi.Ndg.Shaka Hamdu Shaka, akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Babati alipofika katika kijiwe cha kahawa stendi ya zamani ya mabasi Mjini Babati Mkoani Manyara akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani humo
.jpg)
(Picha zote na Fahad Siraji wa CCM).
No comments:
Post a Comment