6/recent/ticker-posts

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Dodoma.

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza  na Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko bungeni jijini Dodoma, Mei 18, 2022.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira , Vijana na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi akijibu maswali bungeni jijini Dodoma, Mei 18, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

Post a Comment

0 Comments