Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Rwanda Paul Kagame, ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Vincent Biruta mara baada ya kuwasilisha Ujumbe huo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Rwanda Paul Kagame, ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Vincent Biruta mara baada ya kuwasilisha Ujumbe huo Ikulu Jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Rwanda Paul Kagame, ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Vincent Biruta mara baada ya kuwasilisha Ujumbe huo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe Maalum wa Rais wa Rwanda Paul Kagame, ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Vincent Biruta na Wenyeji wao kutoka Tanzania mara baada ya kuwasilisha Ujumbe huo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Mei, 2022.
PICHA NA IKULU. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.