RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Benki
ya NMB ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa hiyo Bi.Ruth Zaipuna (kulia kwa
Rais) walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki
ya NMB Bi.Ruth Zaipuna, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo
yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Uongozi wa Benki ya NMB ukiongozwa na Afisa Mtendaji
Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna.(kushoto kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yaliofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Afisa Mtendaji
Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna, baada ya kumaliza mazungumzo yaliofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
No comments:
Post a Comment