Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ameizindua Filamu ya The Royal Tour Zanzibar Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja leo 7-50-2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi alikabidhiwa Tuzo ya uigizaji Bora wa Filamu ya Tanzania Royal Tour, baada ya kuizindua katika ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Jijini Zanzibar leo 7-5-2022, akikabidhiwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa,Utamadunina Filamu Zanzibar Dkt.Omar Abdalla.(kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania.Dkt.Kiagho Kilonzo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wakiizindua Filamu ya 'The Royal Tour ' katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Jijini Zanzibar leo 7-5-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Filamu ya Tanzania Royal Tour baada ya kuizindua katika ukumbi wa Hoteli ya Goldeg Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Jijini Zanzibar leo 7-5-2022 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia Uzinduzi wa Filamu ya Tanzania Royal Tour.(kulia kwake)Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Unguja Jijini Zanzibar leo 7-5-2022, iliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwake) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na wakiwa na Wake wa Viongozi wakifuatilia Filamu ya Tanzania Royal Tour, iliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Jijini Zanzibar leo 7-5-2022.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.