THE 15th INTERN: AFRICA FESTIVAL& EXPO 2022 IN TÜBINGEN, GERMANY IT IS NOW OFFICIALLY OPEN FOR REGISTRATION & PARTICIPATION
Maonyesho ya kimataifa ya 15 ya "INTERNATIONAL AFRICA FESTIVAL& EXPO 2022 IN TÜBINGEN, GERMANY" yanayofanyika kila mwaka katika mji wa Tuebingen ,nchini Ujerumani. Maonyesho hayo ya Sanaa,Utamaduni,biadhaa za kiafrika, Utalii n.k ayataraijiwa kuanza tarehe 04 Augost hadi tarehe 7 Augost 2022. Hii ni nafasi pekee kwa watanzania wajasiliamali,wenye makapuni ya Utalii,Mahoteli, wasanii wa wasanaa za mikono kama vinyago n.k, watanamitindo ya mavazi,vikundi vya sanaa za maonyesho ya Ngoma za asili na bendi za muziki Live wanayo nafasi ya kujiandikisha kushiriki tamasha hilo nchini Ujerumani katika kutangaza bidhaa zao na kuitangaza nchi kimataifa. Watanzania wanatakiwa kutumia fursa hii kwa kujiandikisha : https:// africafestival-international. org au info@africafestival- international.org
No comments:
Post a Comment