Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo (wa pili kulia) akiongoza matembezi
yaliyoanzia eneo la Chimwaga kuelekea Iyumbu wakati wa ufunguzi wa Maadhimisho
ya Wiki ya Mazingira leo Mei 28, 2022 yanayofanyika jijini Dodoma ikiwa ni
sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yanayotarajiwa kufanyika
Juni 5, 2022.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na wananchi wakati akifungua
Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira leo Mei 28, 2022 katika eneo la Iyumbu jijini
Dodoma ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani
yanayotarajiwa kufanyika Juni 5, 2022.
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais
Bw. Abdallah Hassan Mitawi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Maadhimisho ya Wiki
ya Mazingira leo Mei 28, 2022 katika eneo la Iyumbu jijini Dodoma ikiwa ni
sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yanayotarajiwa kufanyika
Juni 5, 2022.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Anthony Mtaka akizungumza
wakati wa ufunguzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira leo Mei 28, 2022 katika
eneo la Iyumbu jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya
Mazingira Duniani yanayotarajiwa kufanyika Juni 5, 2022.
Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt.
Andrew Komba akitoa neno la utambulisho wakati wa ufunguzi wa Maadhimisho ya
Wiki ya Mazingira leo Mei 28, 2022 katika eneo la Iyumbu jijini Dodoma ikiwa ni
sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yanayotarajiwa kufanyika
Juni 5, 2022.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo (wa pili kulia) akipanda mti katika eneo la
Iyumbu wakati wa ufunguzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira leo Mei 28, 2022
yanayofanyika jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira
Duniani yanayotarajiwa kufanyika Juni 5, 2022.
Sehemu ya wananchi wakishiriki katika ufunguzi wa
Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira leo Mei 28, 2022 yanayofanyika jijini Dodoma
ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yanayotarajiwa
kufanyika Juni 5, 2022.
(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
No comments:
Post a Comment