Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Majaliwa Amekutana na Kuzungumza na Mhe.Balozi Polepole.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole kabla ya mazungumzo yao kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole  kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma, Mei 6, 2022.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.