Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Mpango Amekutana na Mfalme wa Sweden Carl Gustav.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na Mfalme wa Sweden Mtukufu Carl XVI Gustav wakati alipomtembelea na kufanya mazungumzo  katika Nyumba ya Kifalme Stockholm nchini Sweden mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Stockholm +50 unaoendelea nchini Sweden.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.