Habari za Punde

MIRADI YA UVIKO-19 DODOMA

MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (kushoto), akiwa na Menejimenti ya DUWASA wakikagua tanki lililojengwa kupitia fedha za mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 katika eneo la Ntyuka Chimala jijini Dodoma wakati wa ziara ya kukagua miradi hiyo mwishoni mwa wiki.
MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (wa pili kulia), akiwa na Menejimenti ya DUWASA wakikagua tanki lililojengwa miradi  inayotekelezwa kupitia fedha za mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 katika eneo la Ntyuka Chimala jijini Dodoma wakati wa ziara ya kukagua miradi hiyo mwishoni mwa wiki
MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi na Ugavi, Alex Maheri. wakionja maji katika kisima kilichochimbwa eneo la Ntyuka Chimala jijini Dodoma wakati wa ziara ya menejimenti ya kukagua miradi  inayotekelezwa kupitia fedha za mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 mwishoni mwa wiki.
MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (wa pili kulia), akiuliza swali kwa wasimamizi wa miradi  inayotekelezwa kupitia fedha za mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 katika Mji wa Bahi mkoani Dodoma wakati wa ziara ya menejimenti ya kukagua miradi hiyo mwishoni mwa wiki.  Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi na Ugavi, Alex Maheri
MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (katikati), akimsikiliza Fundi sanifu wa DUWASA Mji wa Bahi, Festo Mwangimba  kuhusu kituo cha kuchotea maji  kwa wananchi katika eneo la Chiona mjini Bahi mkoani Dodoma wakati wa ziara ya menejimenti ya kukagua miradi  inayotekelezwa kupitia fedha za mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 mwishoni mwa wiki.
(Picha na Mpigapicha Wetu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.