Naibu Waziri Wizara ya Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh akizungumza na watendaji katika kituo cha Afya Fuoni kuhusiana na uwajibikaji kazini alipofika Kituoni hapo kuendeleza ziara yake ndani ya vituo vya Afya vinavyotoa Huduma ya mama na mtoto na kusisitiza utendaji kazi na utoaji huduma bora kwa wananchi.
Naibu Waziri Wizara ya Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh akiwaelekeza jambo watendaji katika kituo cha Afya Fuoni wakati wa ziara yake ndani vituo vya Afya vinavyotoa Huduma ya mama na mtoto akisisitiza utendaji kazi na utoaji huduma bora kwa wananchi.
Naibu Waziri Wizara ya Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh akimtunza mtoto aliezaliwa salama katika kituo cha Afya Fuoni Kibondeni Fedha taslim kwaajili ya mahitaji mbalimbali ya mtoto huyo, mara alipofika kituoni hapo katika muendelezo ziara yake kusisitiza utendaji kazi na utoaji huduma bora kwa wananchi.
Naibu Waziri Wizara ya Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh akizungumza na watendaji katika kituo cha Afya Fuoni kuhusiana na uwajibikaji kazini alipofika Kituoni hapo kuendeleza ziara yake ndani ya vituo vya Afya vinavyotoa Huduma ya mama na mtoto na kusisitiza utendaji kazi na utoaji huduma bora kwa wananchi.Naibu Waziri Wizara ya Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh akizungumza na watendaji katika kituo cha Afya Fuoni Kibondeni kuhusiana na uwajibikaji kazini alipofika Kituoni hapo kuendeleza ziara yake ndani ya vituo vya Afya vinavyotoa Huduma ya mama na mtoto na kusisitiza utendaji kazi na utoaji huduma bora kwa wananchi. PICHA NA FAUZIA MUSSA –MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment