Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan atembelea Kituo cha Saratani cha Dar Al Hanan, Muscat nchini Oman

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Kituo cha Saratani cha Dar Al Hanan kilichopo Muscat nchini Oman wakati alipotembelea Kituo hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo wakati alipotembelea Kituo cha Saratani cha Dar Al Hanan kilichopo Muscat nchini Oman
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo wakati alipotembelea Kituo cha Saratani cha Dar Al Hanan kilichopo Muscat nchini Oman
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.