Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Viongozi Wanawake ambao ni Wakuu wa Taasisi mbalimbali nchini Oman

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi Wanawake ambao ni Wakuu wa Taasisi mbalimbali nchini Oman kwenye mkutano uliofanyika katika Kasri ya Al Alam, Muscat nchini humo tarehe 14 June, 2022.

Viongozi Wanawake ambao ni Wakuu wa Taasisi mbalimbali nchini Oman wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao kwenye mkutano uliofanyika katika Kasri ya Al Alam Muscat nchini humo.
Viongozi Wanawake ambao ni Wakuu wa Taasisi mbalimbali nchini Oman wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao kwenye mkutano uliofanyika katika Kasri ya Al Alam Muscat nchini humo
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.