Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Majaliwa Azindua Zoezi la Upandaji wa Miti Mji wa Serikali wa Mtumba Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua zoezi la upandaji wa miti katika Mji wa Serikali, eneo la Mtumba jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua zoezi la upandaji wa miti katika Mji wa Serikali, eneo la Mtumba jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua zoezi la upandaji wa miti katika Mji wa Serikali, eneo la Mtumba jijini Dodoma, Juni 1, 2022. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jafo na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka.

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.