Habari za Punde

Chama cha Wafanyakazi Zanzibar (ZAPSWU) Watembelea Chuo Cha Karume Zanzibar ( KIST)

Mkurugenzi wa Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Dkt, Mahmoud Abdulwahab akifungua Kikao na kuwakaribisha Viongozi wa Chama cha Wafanyakazi Zanzibar (ZAPSWU), walipofika katika Taasisi ya Karume  kwa lengo la kuwahamasisha Wafanyakazi kujiunga na Chama hicho,  kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa Mkutano wa Dkt. Idrisa Muslim Hijja Mbweni Zanzibar.
Katibu wa Chama cha Wafanyakazi Zanzibar (ZAPSWU),Mnyanja Sima Dama akizungumza na Wafanyakazi wa Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), kuhusu kujiunga na Chama cha Wafanyakazi Zanzibar (ZAPSWU), katika  Ukumbi wa Mkutano wa Dkt. Idrisa Muslim Hijja Mbweni Zanzibar.

Baadhi ya Wafanyakazi wa Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), wakiuliza maswali mbali mbali yanayohusu Chama cha Wafanyakazi Zanzibar (ZAPSWU), baada ya Ungozi wa Chama hicho kufika katika Taasisi hiyo na kuzungumza na Wafanyakazi, hafla  iliyofanyika Ukumbi wa Mkutano wa Dkt. Idrisa Muslim Hijja Mbweni Zanzibar.

Picha na Maryam Kidiko – KIST.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.