Habari za Punde

Katibu Mkuu wa CCM Ndg.Chongolo Aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Maduka ya CCM Dodoma.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiweka jiwe la msingi ufunguzi wa mradi wa ujenzi wa vyumba 172 vya maduka katika viwanja vya Barafu Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiongozana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Ndugu Godwin Mkanwa, Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme wakikagua mradi wa vyumba 172 vya maduka vya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dodoma 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda (kulia) wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa Viongozi wa matawi na mashina waliochaguliwa 2022 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jakaya Kikwete Convention.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akifurahia jambo wakati akiteta na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Ndugu Godwin Mkanwa (kulia) mara baada ya kumaliza hotuba yake ya ufunguzi wa mafunzo kwa Viongozi wa matawi na mashina waliochaguliwa 2022 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jakaya Kikwete Convention.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndugu Christina Mndeme akiteta jambo na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa Viongozi wa matawi na mashina waliochaguliwa 2022 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jakaya Kikwete Convention.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa Viongozi wa matawi na mashina waliochaguliwa 2022 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jakaya Kikwete Convention.
(Picha na Adam H. Mzee/ CCM Makao Makuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.