Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip
Mpango akikabidhi msaada wa vifaa maalum vya kupima mapigo ya moyo na Oksijeni vinavyofahamika
kama Hand Held Pulse Oximeter kwa Mkurugenzi
wa Huduma za Uuguzi wa Hospitali ya Muhimbili Sr. Zuhura Mawona kwaajili
ya Wodi ya Watoto Njiti leo tarehe 5 Julai 2022.
No comments:
Post a Comment