Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Julai, 2022.
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.