RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua mlango na Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki ya CRDB Abdulmajid Mussa Nsekela kuashiria kulifungua Tawi la Benki ya
CRDB Wete Pemba na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam
Mwinyi, ufunguzi huo uliofanyika leo 25-7-2022, Wilaya ya Wete Mkoa wa
Kaskazini Pemba, wakati wa ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo katika
Mkoa huo

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kulifungua Tawi la
Benki ya CRDB Wete Pemba Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba na (kushoto kwa
Rais ) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Mussa Nsekela na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Mhe.Dk.Saada Mkuya na (kulia
kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, ufunguzi huo wa Tawi la
Benki ya( CRDB) uliofanyika leo 25-7-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kulifungua Tawi la
Benki ya CRDB Wete Pemba Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba na (kushoto kwa
Rais ) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Mussa Nsekela na Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt. Saada Mkuya na (kulia kwa
Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, ufunguzi huo wa Tawi la Benki
ya( CRDB) uliofanyika leo 25-7-2022
MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Mussa Nekela akizunguma na kutowa maelezo kuhusiana na hutuma mbalimbali
zinazotolewa na Benki yake kwa Wananchi, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Tawi la
Benki ya CRDB Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, lililofunguliwa leo 25-7-2022, na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi, akiwa katrika ziara yake Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini
Pemba katika hafla ya ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB Wete Pemba leo
25-7-2022, wakati wa ziara yake katika Mkoa huo, kutembelea Miradi ya Maendeleo
ya Mkoa huo.

WAFANYAKAZI wa Benki ya CRDB wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akiwahutubia katika hafla ya
Ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB Wete Pemba leo 25-7-2022
WANANCHI wa Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini
Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akiwahutubia katika hafla ya
Ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB Wete Pemba leo 25-7-2022
BAADHI ya Waendesha Bodaboda wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akiwahutubia katika hafla
ya Ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB Wete Pemba leo 25-7-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi funguo ya Pikipiki (Bodaboda)
Mwenyekiti wa Waendesha Bodaboda Mkoa wa Kaskazini Pemba Ndg. Said Kassim
Juma,zilizotolewa Mkopo na Benki ya CRDB, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Tawi
la Benki ya CRDB Wete Pemba (kushoto) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB
Abdulmajid Mussa Nsekela na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba
Mhe. Salama Mbarouk Khatib

Mhe. Salama Mbarouk Khatib na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoka katika viwanja vya Tawi la Benki
ya CRDB baada ya kulifungua rasmin leo 25-7-2022, na (kushoto kwa Rais)
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmaji Mussa Nsekela na (kulia kwa
Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
No comments:
Post a Comment