Habari za Punde

WIZARA YA AFYA YAZINDUA UHAMASISHAJI CHANJO YA UVIKO 19

Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Hassan Hafidh akizungumza na masheha na madaktari wa Wilaya ya Magharibi A’na B’ juu ya  umuhimu wa chanjo ya Uviko 19 wakati wa  uzinduzi wa kuhamasisha   chanjo  hiyo huko   Hospitali ya Kianga Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi.
Mwakilishi kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt Andamichel Ghirmay akitoa neno la shukurani kwa Wizara ya Afya Zanzibar wakati wa  uzinduzi wa kuhamasisha   chanjo  ya Uviko 19  huko   Hospitali ya Kianga Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.