Habari za Punde

Banda la Maonesho la Benki ya CRDB Kivutio kwa Wananchi Katika Viwanja vya Maonesho ya Kilimo ya Nanenane Kizimbani Wilaya ya Magharibi Unguja.

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakitowa huduma ya Kibenki na kutowa maelezo ya huduma zinazotolewa na Benjki hiyo kwa Wananchi na Wakulima kujipatia Ofa Maalum ya kukuza Kilimo kwa kwa asilia 10% hadi 2030. Wananchi wamejitikeza kupata huduma kupitia CRDB katika viwanja vya Maonesho ya Nane Nane Kizimbani Unguja.
Mtendaji wa Benki ya CRDB Bi.Naima Azizi akitowa huduma kwa Mwananchi aliyeka katika banda la maonesho la Benki ya CRDB kupata huduma zinazotolewa na benki hiyo wakati wa maonesho ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "A" Unguja. Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja 
Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw.Florian Kyoma akitowa huduma kwa Mwananchi aliyeka katika banda la maonesho la Benki ya CRDB kupata huduma zinazotolewa na benki hiyo wakati wa maonesho ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "A" Unguja. Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja 

Mtendaji wa Benki ya CRDB Bi.Naima Azizi akitowa huduma kwa Mwananchi aliyeka katika banda la maonesho la Benki ya CRDB kupata huduma zinazotolewa na benki hiyo wakati wa maonesho ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "A" Unguja. Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.