Habari za Punde

Katibu Mkuu wa CCM Ndg.Chongolo Ashiriki Zoezi la Sensa ya Watu na Makaazi.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Karani wa Sensa ya Watu na Makazi Bi. Faith Buruhani (kushoto) wakati wa kuhesabiwa kwenye makazi yake Msasani jijini Dar es salaam leo tarehe 23, Agosti 2022. (Picha na Adam H. Mzee/ CCM Makao Makuu)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.