Habari za Punde

Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii Jijini Dodoma

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akizungumza na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii katika kikao kilichofanyika leo jijini Dodoma..
Naibu Waziri Maliasili na Utalii, Mhe.Mary Masanja (Mb) akifafanua jambo wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii katika kikao kilichofanyika leo jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Prof.Eliamani Sedoyeka akifafanua jambo wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii katika kikao kilichofanyika leo jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhe. Juma Ally Makoa (Mb) akifungua  kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii katika kikao kilichofanyika leo jijini Dodoma.
Mkuu wa Chuo cha Viwanda vya Misitu (FITI) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miaka minne ya Mradi wa kuongeza Thamani ya Mnyororo wa Mazao ya Misitu katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii katika kikao kilichofanyika leo jijini Dodoma.
Mratibu wa Mradi wa FORVAC, James Nshare akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miaka minne ya Mradi wa kuongeza Thamani ya Mnyororo wa Mazao ya Misitu katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii katika kikao kilichofanyika leo jijini Dodoma.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.