RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji Mhe. Jestas Abuok Nyamanga, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 10-8-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji Mhe. Jestas Abouk Nyamanga, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 10-8-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji Mhe. Jestas Abouk Nyamanga, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 10-8-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji Mhe. Jestas Abouk Nyamanga, baada ya kumaliza mazungumo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 10-8-2022.(Picha na Ikulu)
KAMATI YA PIC YAONA TIJA UWEKEZAJI MRADI WA UMEME MKUBWA NYAKANAZI, KAGERA
-
*Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) kupitia kwa
Mwenyekiti wake, Mhe. Jerry W. Slaa (Mbunge) imeona tija na jitihada kubwa ...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment