Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika tarehe 31 Agosti, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.