Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mtendaji wa Kampuni ya Equinor inayoshughulikia utafiti na uzalishaji wa Mafuta na Gesi Kimataifa Bw. Al Cook mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 24 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mtendaji wa Kampuni ya Equinor inayoshughulikia utafiti na uzalishaji wa Mafuta na Gesi Kimataifa Bw. Al Cook (wa sita kutoka Kushoto) ambaye aliambatana na ujumbe wake pamoja na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Shell (Tanzania) Bw. Jared Kuehl wa pili kutoka kulia katika picha ya pamoja mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 24 Agosti, 2022.
No comments:
Post a Comment