Habari za Punde

Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Komredi Chongolo Wilayani Mwanga.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipata maelezo kutoka Meneja wa TANROADS  mkoa wa Kilimanjaro  wakati wa kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa barabara ya Mwanga-Kikweni Vuchama yenye urefu wa kilomita 28.98, Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipata maelezo kutoka Meneja wa TANROADS  mkoa wa Kilimanjaro  wakati wa kukagua maendeleo ya m,radi wa ujenzi wa barabara ya Mwanga-Kikweni Vuchama yenye urefu wa kilomita 28.98, Mwanga mkoani Kilimanjaro.
 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakazi wa Kijiji cha Vuchama Ngofi  kata ya Mwaniko mara baada ya kukagua maendeleo ya m,radi wa ujenzi wa barabara ya Mwanga-Kikweni Vuchama yenye urefu wa kilomita 28.98, Mwanga mkoani Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.