Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ Premier League kati ya Timu ya Zimamoto na Taifa ya Jangombe mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Timu ya Zimamoto imeshinda mchezo huo kwa mabao 4-0
JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA (TEF) YATOA TUZO KWA WAZIRI NAPE,DKT NDUMBARO.
-
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye
(Mb) akipokea tuzo ya kutambua mchango wake wa kuendelea kujitolea
kuboresha ma...
3 minutes ago
No comments:
Post a Comment