Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Mpango Amekutana na Kuzungumza na Rais wa IFAD

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mteule wa Mfuko wa Ufadhili wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) Alvaro Lario, Mazungumzo yaliofanyika kando ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akiwa katika mazungumzo na Rais Mteule wa Mfuko wa Ufadhili wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) Alvaro Lario, Mazungumzo yaliofanyika kando ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mteule wa Mfuko wa Ufadhili wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) Alvaro Lario, Mazungumzo yaliofanyika kando ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.