Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Kigali wakati akiondoka nchini Rwanda kurejea Tanzania mara baada ya
kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu
Hassan katika Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika uliofanyika nchini
humo. Kushoto ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango na kulia ni
Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Mheshimiwa Vincent Biruta.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda
Mheshimiwa Vincent Biruta katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali wakati
akirejea nchini Tanzania mara baada ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Mapinduzi ya
Kijani Barani Afrika uliofanyika nchini Rwanda.
.jpg)
.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma wakati
akitokea Kigali Nchini Rwanda ambapo alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano

Kijani Barani Afrika uliofanyika nchini Rwanda. Tarehe 08 Septemba 2022.
No comments:
Post a Comment