Habari za Punde

Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi Aongoza Wnamichezo wa Vikundi Vya Mazoezi ya Viungo Katika Matembezi ya Kilomita 5.5is D

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanamichezo mbalimbali katika matembezi  na mazoezi ya viungo ya kilomita 5.5 yaliyoazia katika eneo la regeza mwendo na kumalizikia katika viwanja vya Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 24-9-2022, na (kushoto ) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Bi.Lela Ngozi na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mhe. Suzan Kunambi na(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana na Waziri wa Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanamichezo mbalimbali katika matembezi  na mazoezi ya viungo ya kilomita 5.5 yaliyoazia katika eneo la regeza mwendo na kumalizikia katika viwanja vya  mpira Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 24-9-2022, na (kushoto ) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Bi.Lela Ngozi na (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanamichezo mbalimbali Wilaya ya Magharibi “A” Unguja katika matembezi  na mazoezi ya viungo ya kilomita 5.5 yaliyoazia katika eneo la regeza mwendo na kumalizikia katika viwanja vya Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 24-9-2022, na (kushoto ) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Bi.Lela Ngozi na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Mhe. Mohammed Rajab na  (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiwa katika matembezi ya mazoezi ya viungo ya Kilomita 5.5 yalioazia katika eneo la regeza mwendo Kianga na kumalizia katika viwanja vya mpira Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 24-9-2022 kwa mazoezi ya pamoja ya viungo
MWANANCHI wa Kijiji cha Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Unguja akimpungia mkono na kumsalimia Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwa katika matembezi ya mazoezi ya viungo yaliofanyika leo 24-9-2022 katika eneo la regeza mwendo na kumalizikia katika viwanja vya mpira Dole kwa mazoezi ya pamoja ya viungo
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanamichezo wa vikundi mbalimbali vya Wilaya ya Magharibi “A” Unguja katika matembelezi ya Kilomita 5.5 yaliyoazia katika eneo la regeza mwendo na kumalizikia katika viwanja vya mpira Dole kwa mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika leo 24-9-2022
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika katika mazoezi ya viungo baada ya kumaliza matembezi ya Kilomita 5.5 yaliyoazia katika eneo la Regeza mwendo na kumalizika katika viwanja vya mpira Dole Wilaya ya Magharibi “A”Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo yalioyofanyika leo 24-9-2022. (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Majini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto) Mkuu wa JKU Kanali Makame Abdalla Daima.
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika katika mazoezi ya viungo baada ya kumaliza matembezi ya Kilomita 5.5 yaliyoazia katika eneo la Regeza mwendo na kumalizika katika viwanja vya mpira Dole Wilaya ya Magharibi “A”Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo yalioyofanyika leo 24-9-2022. (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Majini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita na  (kushoto) Mkuu wa JKU Kanali Makame Abdalla Daima
MWANANCHI wa Kijiji cha Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Unguja akimpungia mkono na kumsalimia Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwa katika matembezi ya mazoezi ya viungo yaliofanyika leo 24-9-2022 katika eneo la regeza mwendo na kumalizikia katika viwanja vya mpira Dole kwa mazoezi ya pamoja ya viungo
WAZIRI wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita akizungumza na Wanamichezo wa Vikundi vya mazoezi ya Viungo wa Wilaya ya Magharibi “A”Unguja, baada ya kumaliza matembezi na mazoezi ya viungo katika viwanja vya mpira Dole, kabla ya kumkaribisha Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi kuzungumza
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Wanamichezo wa Vikundi vya mazoezi ya viungo wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja baada ya kumaliza matembezi ya Kilomita 5.5 na mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Dole leo 24-9-2022
WANAMICHEZO wa Vikundi vya mazoezi ya viungo wa Wilaya ya Magharibi “A”Unguja w akimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akizungumza na kutowa nasaha zake kwao baada ya kumaliza mazoezi ya pamoja ya viungo baada ya kumaliza matembezi ya Kilomita 5.5 yalioazia katika eneo la Regeza mwendo hadi viwanja vya mpira vya Dole leo 24-9-2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.