Naibu Waziri
Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis
(katikati) akiungana na viongozi mbalimbali kushiriki katika kilele cha
Maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi, leo Septemba 3, 2022 Zanzibar. Kushoto ni
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Deogratius Ndejembi na
Naibu waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali AbdulGullam Hussein.
Naibu Waziri
Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis
akibadilishana mawazo na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora
Mhe. Deogratius Ndejembi wakati aliposhiriki katika Maadhimisho ya Tamasha la
Kizimkazi, leo Septemba 3, 2022 Zanzibar.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akiwa na Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) Mhe. Ali AbdulGullam Hussein aliposhiriki katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi, leo Septemba 3, 2022 Zanzibar.
No comments:
Post a Comment