Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ajumuika na waumini katika Sala ya Ijumaa Masjid Lootha Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini katika Masjid Lootha Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika  leo 09/09/2022.[Picha na Ikulu]
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza na waumini hao katika  Masjid Lootha Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo katika Masjid hiyo.[Picha na Ikulu]09/09/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Waumini wa Kiislam katika wakiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,(wa tatu kushoto) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo katika Masjid Lootha Kiembesamaki  Wilaya ya Magharibi “B”Unguja.[Picha na Ikulu] 09/09/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na  Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa pili kushoto) pamoja na Waumini wa Kiislam katika Masjid Lootha Kiembesamaki  Wilaya ya Magharibi “B”Unguja mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo.[Picha na Ikulu] 09/09/2022.
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.