
Muonekano wa Jengo Jipya la Maabara ya Sayansi la Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkowa wa Kusini Unguja lililofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suhuhu Hassan, wakati wa ziara yake leo, lililojengwa kwa msaada wa Benki ya CRDB.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suhuhu Hassan
kwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB,
Abdulmajid Nsekela wakifungua kitambaa kwenye jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa Maabara ya
Sayansi katika Skuli ya Sekondari ya
Kizimkazi yenye thamani ya Sh. Milioni 50 iliyojengwa kwa msaada wa
Benki ya CRDB leo Septemba 02, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suhuhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Lela Mohammed Musa (kulia),
wakati wa uzinduzi rasmi wa Maabara ya
Sayansi katika Skuli ya Sekondari ya
Kizimkazi yenye thamani ya Sh. Milioni 50 iliyojengwa kwa msaada wa
Benki ya CRDB leo Septemba 02, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suhuhu Hassan
akifurahia burudani kutoka kwa wanafunzi wa Skuli ya maandalizi
Kizimkazi wakati wa uzinduzi rasmi wa Maabara ya
Sayansi katika Skuli ya Sekondari ya
Kizimkazi yenye thamani ya Sh. Milioni 50 iliyojengwa kwa msaada wa
Benki ya CRDB leo Septemba 02, 2022. 

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa, akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa Maabara ya Sayansi katika Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi yenye thamani ya Sh. Milioni 50 iliyojengwa kwa msaada wa Benki ya CRDB, lililozinduliwa leo Septemba 02, 2022. na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suhuhu Hassan akipata maelezo ya mradi wa maabara kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa,
wakati wa uzinduzi rasmi wa Maabara ya
Sayansi katika Skuli ya Sekondari ya
Kizimkazi yenye thamani ya Sh. Milioni 50 iliyojengwa kwa msaada wa
Benki ya CRDB leo Septemba 02, 2022.
No comments:
Post a Comment