Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian Ikulu, Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Chen Mingjian mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Chen Mingjian mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya kitabu kutoka Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Chen Mingjian mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Chen Mingjian mara baada mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Oktoba, 2022.

PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.