Habari za Punde

Tanzania yashinda dhidi ya Uzbekistan kwa goli 2-0

Tanzania yashinda dhidi ya Uzbekistan kwa goli 2-0 kwenye mechi iliyochezwa leo Oktoba 3, 2022 nchini Uturuki.
Kwa matokeo hayo Tanzania inasubiri mchezo kati ya Poland na Hispania utakaochezwa majira ya saa 12:00 jioni, huo ndio mchezo utakaoamua nani kati ya Poland na Tanzania kushika nafasi ya pili katika kundi lao.

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania wakishangilia ushindi wao bao 2--0 dhidi  ya Timu ya Taifa ya Uzbekistan mchezo uliofanyika leo Nchini Uturuki  Michuano ya Kombe la Dunia kwa Watu wenye ulemavu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.