Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Aongoza Mbio za NMB Marathon Kuchangia Fedha za Matibabu ya Fistula

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza mbio za hisani za Benki ya NMB (NMB Marathon) za kuchangia matibabu ya wanawake wenye tatizo la Fistula. Mbio hizo zilianzia katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam, na kuishia katika viwanja hivyo, Oktoba 01, 2022. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jerry Slaa na kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimaliza kilomita 5 za mbio za hisani za Benki ya NMB (NMB Marathon) za kuchangia matibabu ya wanawake wenye tatizo la Fistula. Mbio hizo zilianzia katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam, na kuishia katika viwanja hivyo, Oktoba 01, 2022
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza mazoezi ya viungo baada ya kumaliza mbio za hisani za Benki ya NMB (NMB Marathon) za kuchangia matibabu ya wanawake wenye tatizo la Fistula. Mbio hizo zilianzia katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam, na kuishia katika viwanja hivyo, Oktoba 01, 2022.  Kushoto  Afisa Mtendaji Mkuu wa CCRBT, Brenda Msangi, wa pili kushoto Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jerry Slaa na kulia ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Zubeir Ali Maulid

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kumaliza kilomita 5 za mbio za hisani za Benki ya NMB (NMB Marathon) za kuchangia matibabu ya wanawake wenye tatizo la Fistula. Mbio hizo zilianzia katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam, na kuishia katika viwanja hivyo, Oktoba 01, 2022.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea hundi ya Shilingi milioni 600 kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna kwa ajili ya kuchangia matibabu ya wanawake wenye tatizo la Fistula, baada ya kumaliza mbio za hisani za Benki ya NMB (NMB Marathon) zilizoanzia katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam, na kuishia katika viwanja hivyo, Oktoba 01, 2022. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB, Dkt. Edwin Mhende. 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi hundi ya Shilingi milioni 600 Afisa Mtendaji Mkuu wa CCRBT, Brenda Msangi kwa ajili ya kuchangia matibabu ya wanawake wenye tatizo la Fistula, baada ya kumaliza mbio za hisani za Benki ya NMB (NMB Marathon) zilizoanzia katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam, na kuishia katika viwanja hivyo, Oktoba 01, 2022. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna na Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB, Dkt. Edwin Mhende.

 (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.