Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi alipohudhuria Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Afisi ya Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 17Nov 2022.
Wajumbe wa kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kikao hicho Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Afisi ya Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 17Nov 2022.
Wajumbe wa kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kikao hicho Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Afisi ya Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 17Nov 2022.
Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakimkaribisha Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) mara alipoingia katika ukumbi wa mikutano wa Afisi ya Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo kuongoza Kikao cha siku moja. [Picha na Ikulu] 17Nov 2022.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Makamo wa Pili wa Rais wa zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla(kushoto) Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Maalim Kombo Hassan Juma wakiwa katika Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Afisi ya Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 17Nov 2022.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) walipokaribishwa na Wajumbe wa kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar katika ukumbi wa mikutano wa Afisi ya Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar kilichofanyika leo. [Picha na Ikulu] 17Nov 2022.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akifungua kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Afisi ya Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar (kushoto) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Maalim Kombo Hassan Juma (kulia). [Picha na Ikulu] 17Nov 2022.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)alipokuwa akiongoza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Afisi ya Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar (kushoto) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. [Picha na Ikulu] 17Nov 2022.
No comments:
Post a Comment