Habari za Punde

KMKM katika maadhimisho ya sherehe za kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kutimiza miaka miwili ya uongozi.

Mkuu wa KMKM Commodore Azan Hassan Msingiri alivyowasili Forodhani kwenye maonyesho ya vitendo vya baharini katika maadhimisho ya sherehe za kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kutimiza miaka miwili ya uongozi wake.
Mkuu wa KMKM Commodore Azan Hassan Msingiri akibadilishana mawazo na Naibu Waziri, Wizara ya Afya Hassan Khamis Hafidh ambae ni mgeni rasmi katika sherehe za kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kutimiza miaka miwili ya uongozi wake.
Baadhi ya waalikwa katika sherehe ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi wakifuatilia maonyesho ya vitendo vya baharini yaliyoonyeshwa na wapiga mbizi wa KMKM.
 Kikundi cha wapiga makacho Forodhani kikionyesha mabango yenye ujumbe mbalimbali katika sherehe za kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kutimiza miaka miwili ya uongozi wake.
 Kikundi cha wapiga makacho Forodhani kikionyesha mabango yenye ujumbe mbalimbali katika sherehe za kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kutimiza miaka miwili ya uongozi wake.
 Wazamiaji wa Kikosi Maalum cha Kuzuiya Magendo (KMKM) wakionyesha namna ya kumuokoa mtu aliezama baharini.
Madaktari wa KMKM wakionyesha namna wanavyowasaidia wananchi waliozama baharini.

KMKM na Kikosi cha Zimamoto wakisaidiana kuzima moto kwenye boti ikiwa ni sehemu ya manyesho baharini yaliyofanyika Forozani Mjini Zanzibar.

Picha na Makame Mshenga - KMKM

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.