Habari za Punde

Mama Maryam Mwinyi mgeni rasmi katika Kongamano la Asasi za kiraia la Kumpongeza Rais wa Dk.Hussein Ali Mwinyi

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa  Abdul-Wakil  Kikwajuni Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar leo kufungua Kongamano la Asasi za kiraia la Kumpongeza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi wake.  [Picha na Ikulu.] 19/11/2022.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatana na Mrajis wa Asasi za Kiraia Zanzibar (NGOs) Ndg.Ahmed Khalid Abdalla kabla ya kuingia katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa  Abdul-Wakil  Kikwajuni Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar leo kufungua Kongamano la Asasi za kiraia la Kumpongeza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi wake.[Picha na Ikulu.] 19/11/2022.
Wajumbe wa Kongamano la Asasi za kiraia la Kumpongeza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi wake,walipokuwa wakimkaribisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) mara alipoingia katika  Ukumbi wa Sheikh Idrisa  Abdul-Wakil  Kikwajuni Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar leo kufungua Kongamano hilo.[Picha na Ikulu.] 19/11/2022.
 Baadhi ya Wajumbe katika Mkutano wa Kongamano la Asasi za kiraia la Kumpongeza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi wake,wakimsikiliza wa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Kongamano hilo leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa  Abdul-Wakil  Kikwajuni Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 19/11/2022.

Wajumbe wakifuatalia kwa makini hotuba iliyotolewa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) katika ufunguzi wa Mkutano wa Kongamano la Asasi za kiraia la Kumpongeza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi wake,liliofanyika leo   katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa  Abdul-Wakil  Kikwajuni Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 19/11/2022.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akifungua Mkutano wa Kongamano la Asasi za kiraia la Kumpongeza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi wake,liliofanyika leo   katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa  Abdul-Wakil  Kikwajuni Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 19/11/2022.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akifungua Mkutano wa Kongamano la Asasi za kiraia la Kumpongeza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi wake,liliofanyika leo   katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa  Abdul-Wakil  Kikwajuni Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 19/11/2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.